Fanyeni ghasia, enyi kabila za watu,Nanyi mtavunjwa vipande vipande;Tegeni masikio, ninyi nyote wa nchi zilizo mbali;Jikazeni viuno, nanyi mtavunjwa vipande vipande;Jikazeni viuno, nanyi mtavunjwa vipande vipande.