Isa. 65:10 Swahili Union Version (SUV)

Na Sharoni itakuwa zizi la makundi ya kondoo, na bonde la Akori mahali pa kulala makundi ya ng’ombe, kwa ajili ya watu wangu walionitafuta.

Isa. 65

Isa. 65:6-18