Isa. 63:9 Swahili Union Version (SUV)

Katika mateso yao yote yeye aliteswa, na malaika wa uso wake akawaokoa; kwa mapenzi yake, na huruma zake, aliwakomboa mwenyewe; akawainua, akawachukua siku zote za kale.

Isa. 63

Isa. 63:2-14