Isa. 63:18-19 Swahili Union Version (SUV)

18. Watu wako watakatifu waliumiliki kwa kitambo tu; adui zetu wamepakanyaga patakatifu pako.

19. Tumekuwa kama watu usiowamiliki kamwe; kama watu wasioitwa kwa Jina lako.

Isa. 63