Isa. 63:1 Swahili Union Version (SUV)

Ni nani huyu atokaye Edomu,Mwenye mavazi ya kutiwa damu kutoka Bosra?Huyu aliye na nguo za fahari,Anayekwenda katika ukuu wa uweza wake?Mimi nisemaye kwa haki,Hodari wa kuokoa.

Isa. 63

Isa. 63:1-6