Isa. 62:4 Swahili Union Version (SUV)

Hutaitwa tena Aliyeachwa, wala nchi yako haitaitwa tena, Ukiwa; bali utaitwa Hefsiba; na nchi yako Beula; kwa kuwa BWANA anakufurahia, na nchi yako itaolewa.

Isa. 62

Isa. 62:1-12