Piteni, piteni, katika malango;Itengenezeni njia ya watu;Tutieni, tutieni barabara; toeni mawe yake;Twekeni bendera kwa ajili ya kabila za watu.