Isa. 60:6 Swahili Union Version (SUV)

Wingi wa ngamia utakufunika,Ngamia vijana wa Midiani na Efa;Wote watakuja kutoka Sheba;Wataleta dhahabu na uvumba;Na kuzitangaza sifa za BWANA.

Isa. 60

Isa. 60:1-7