Isa. 58:8 Swahili Union Version (SUV)

Ndipo nuru yako itakapopambazuka kama asubuhi, na afya yako itatokea mara; na haki yako itakutangulia; utukufu wa BWANA utakufuata nyuma ukulinde.

Isa. 58

Isa. 58:1-14