Badala ya michongoma utamea msunobari,Na badala ya mibigili, mhadesi;Jambo hili litakuwa la kumpatia BWANA jina,Litakuwa ishara ya milele isiyokatiliwa mbali.