Isa. 54:16 Swahili Union Version (SUV)

Tazama, nimemwumba mhunzi avukutaye moto wa makaa, akatoa silaha kwa kazi yake; nami nimemwumba mharibu ili aharibu.

Isa. 54

Isa. 54:7-17