Isa. 53:3 Swahili Union Version (SUV)

Alidharauliwa na kukataliwa na watu;Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko;Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao,Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.

Isa. 53

Isa. 53:2-12