Jinsi ilivyo mizuri juu ya milimaMiguu yake aletaye habari njema,Yeye aitangazaye amani,Aletaye habari njema ya mambo mema,Yeye autangazaye wokovu,Auambiaye Sayuni, Mungu wako anamiliki!