Isa. 51:20 Swahili Union Version (SUV)

Wana wako wamezimia,Wamelala penye pembe za njia kuu zoteKama kulungu wavuni;Wamejaa hasira ya BWANA,Lawama ya Mungu wako.

Isa. 51

Isa. 51:11-22