Isa. 50:7 Swahili Union Version (SUV)

Maana Bwana MUNGU atanisaidia; kwa sababu hiyo sikutahayari, kwa sababu hiyo nimekaza uso wangu kama gumegume, nami najua ya kuwa sitaona haya.

Isa. 50

Isa. 50:5-9