Isa. 5:6 Swahili Union Version (SUV)

nami nitaliharibu; wala halitapogolewa wala kulimwa, bali litamea mbigili na miiba; nami nitayaamuru mawingu yasinyeshe mvua juu yake.

Isa. 5

Isa. 5:2-13