Isa. 5:4 Swahili Union Version (SUV)

Je! Ni kazi gani iliyoweza kutendeka ndani ya shamba langu la mizabibu nisiyoitenda? Basi, nilipotumaini ya kuwa litazaa zabibu, mbona lilizaa zabibu-mwitu?

Isa. 5

Isa. 5:1-8