Isa. 47:9 Swahili Union Version (SUV)

lakini mambo haya mawili yatakupata katika dakika moja siku moja, kufiwa na watoto, na ujane; yatakupata kiasi kitimilifu, uchawi wako ujapokuwa mwingi, na uganga wako mwingi mno.

Isa. 47

Isa. 47:2-14