Isa. 45:24-25 Swahili Union Version (SUV)

24. Mmoja ataniambia, Kwa BWANA, peke yake, iko haki na nguvu; naam, watu watamwendea yeye, na wote waliomkasirikia watatahayarika.

25. Katika BWANA wazao wote wa Israeli watapewa haki, na kutukuka.

Isa. 45