Isa. 45:2 Swahili Union Version (SUV)

Nitakwenda mbele yako, na kupasawazisha mahali palipoparuza; nitavunja vipande vipande milango ya shaba, na kukata-kata mapingo ya chuma;

Isa. 45

Isa. 45:1-8