Isa. 43:3 Swahili Union Version (SUV)

Maana mimi ni BWANA, Mungu wako; Mtakatifu wa Israeli, mwokozi wako, nimetoa Misri kuwa ukombozi wako; nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako.

Isa. 43

Isa. 43:1-11