Isa. 43:23 Swahili Union Version (SUV)

Hukuniletea wana-kondoo kuwa kafara zako, wala hukuniheshimu kwa dhabihu zako. Sikukutumikisha kwa matoleo, wala sikukuchosha kwa ubani.

Isa. 43

Isa. 43:14-26