Isa. 42:1 Swahili Union Version (SUV)

Tazama mtumishi wangu nimtegemezaye; mteule wangu, ambaye nafsi yangu imependezwa naye; nimetia roho yangu juu yake; naye atawatolea mataifa hukumu.

Isa. 42

Isa. 42:1-5