Isa. 41:20 Swahili Union Version (SUV)

ili waone, na kujua, wakafikiri, na kufahamu pamoja, ya kuwa mkono wa BWANA ndio uliofanya jambo hilo. Mtakatifu wa Israeli ndiye aliyeliumba.

Isa. 41

Isa. 41:13-29