Isa. 40:27 Swahili Union Version (SUV)

Mbona unasema, Ee Yakobo, mbona unanena, Ee Israeli, Njia yangu imefichwa, BWANA asiione, na hukumu yangu imempita Mungu wangu asiiangalie?

Isa. 40

Isa. 40:17-31