Isa. 4:2 Swahili Union Version (SUV)

Siku hiyo chipukizi la BWANA litakuwa zuri, lenye utukufu, na matunda ya nchi yatakuwa mema sana, na kupendeza, kwa ajili ya Waisraeli wale waliookoka.

Isa. 4

Isa. 4:1-4