Isa. 37:9 Swahili Union Version (SUV)

Naye alisikia habari ya Tirhaka, mfalme wa Kushi, ya kwamba, Ametoka ili kupigana nawe; naye aliposikia hayo, akatuma wajumbe kwa Hezekia, kusema,

Isa. 37

Isa. 37:6-13