Isa. 35:10 Swahili Union Version (SUV)

Na hao waliokombolewa na BWANA watarudi, watafika Sayuni wakiimba; na furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao; nao watapata kicheko na furaha, huzuni na kuugua zitakimbia.

Isa. 35

Isa. 35:4-10