Isa. 33:21 Swahili Union Version (SUV)

Bali huko BWANA atakuwa pamoja nasi, mwenye adhama; mahali penye mito mipana na vijito, pasipopita mashua na makasia yake; wala hapana merikebu ya vita itakayopita hapo.

Isa. 33

Isa. 33:13-24