Isa. 30:23 Swahili Union Version (SUV)

Naye atatoa mvua juu ya mbegu zako, upate kuipanda nchi hii; na mkate wa mazao ya nchi, nayo itasitawi na kuzaa tele; katika siku hiyo ng’ombe zako watakula katika malisho mapana.

Isa. 30

Isa. 30:20-33