Isa. 3:1 Swahili Union Version (SUV)

Kwa maana, tazama, Bwana, BWANA wa majeshi, awaondolea Yerusalemu na Yuda egemeo na tegemeo; tegemeo lote la chakula na tegemeo lote la maji;

Isa. 3

Isa. 3:1-10