Isa. 29:18 Swahili Union Version (SUV)

Na katika siku hiyo viziwi watasikia maneno ya hicho chuo, na macho ya vipofu yataona katika upofu na katika giza.

Isa. 29

Isa. 29:15-20