Isa. 29:1 Swahili Union Version (SUV)

Ole wa Arieli, Arieli, mji ambao Daudi alifanya kituo chake ndani yake; ongezeni mwaka baada ya mwaka; sikukuu na zirudi wakati wake,

Isa. 29

Isa. 29:1-3