Twaa kinubi, tembea mjini,Ewe kahaba uliyesahauliwa;Piga vizuri, imba nyimbo nyingi,Upate kukumbukwa tena.