Waleteeni wenye kiu maji,Enyi wenyeji wa nchi ya Tema;Nendeni kuwalaki wakimbiao na chakula chao.