Isa. 2:6 Swahili Union Version (SUV)

Maana wewe umewaacha watu wako, nyumba ya Israeli, kwa sababu wamejaa kawaida za mashariki, nao ni wapiga ramli kama Wafilisti, na wanapana mikono na wana wa wageni.

Isa. 2

Isa. 2:5-14