Isa. 2:17 Swahili Union Version (SUV)

Na majivuno ya mwanadamu yatainamishwa, na kiburi cha watu kitashushwa; naye BWANA, yeye peke yake, atatukuzwa siku hiyo.

Isa. 2

Isa. 2:11-22