Wakati huo BWANA wa majeshi ataletewa hedaya na watu warefu, laini;Watu watishao tangu mwanzo wao hata sasa;Taifa la wenye nguvu, wakanyagao watu,Ambao mito inakata nchi yao;Mpaka mahali pa jina la BWANA wa majeshi, mlima Sayuni.