Isa. 18:2 Swahili Union Version (SUV)

Ipelekayo wajumbe wake kwa njia ya bahari,Na katika vyombo vya manyasi juu ya maji.Nendeni, wajumbe wepesi, kwa watu warefu, laini;Watu watishao tangu mwanzo wao hata sasa;Taifa la wenye nguvu, wakanyagao watu,Ambao mito inakata nchi yao.

Isa. 18

Isa. 18:1-7