Mataifa wananguruma kama ngurumo ya maji mengi;Lakini atawakemea, nao watakimbia mbali sana,Watafukuzwa kama makapi milimani mbele ya upepo,Na kama mavumbi vuruvuru mbele ya tufani.