utatunga mithali hii juu ya mfalme wa Babeli, na kusema,Jinsi alivyokoma mwenye kuonea;Jinsi ulivyokoma mji ule wenye jeuri!