Isa. 13:22 Swahili Union Version (SUV)

Na mbwa-mwitu watalia ndani ya ngome zake; na mbweha ndani ya majumba ya anasa; na wakati wake u karibu kufika, na siku zake hazitaongezeka.

Isa. 13

Isa. 13:16-22