Isa. 11:6 Swahili Union Version (SUV)

Mbwa-mwitu atakaa pamoja na mwana-kondoo, na chui atalala pamoja na mwana-mbuzi; ndama na mwana-simba na kinono watakuwa pamoja, na mtoto mdogo atawaongoza.

Isa. 11

Isa. 11:4-10