Isa. 10:8-10 Swahili Union Version (SUV)

8. Maana asema, Je! Wakuu wangu si wote wafalme?

9. Je! Kalno si kama Karkemishi? Hamathi si kama Arpadi? Samaria si kama Dameski?

10. Kama vile mkono wangu ulivyofikilia falme za sanamu, ambazo sanamu zao za kuchongwa zilikuwa bora kuliko sanamu za Yerusalemu na za Samaria;

Isa. 10