Isa. 10:29-32 Swahili Union Version (SUV)

29. wamevuka kivuko; wamekwenda kulala katika Geba; Rama unatetemeka; Gibea wa Sauli umekimbia.

30. Piga kelele sana, Ee binti Galimu; sikiliza, Ee Laisha; ole wako, maskini Anathothi!

31. Madmena ni mkimbizi; wenyeji wa Gebimu wamejikusanya wakimbie;

32. siku hii ya leo atasimama huko Nobu; anatikisa mkono wake juu ya mlima wa binti Sayuni, mlima wa Yerusalemu.

Isa. 10