Hos. 9:15 Swahili Union Version (SUV)

Uovu wao wote u katika Gilgali; maana huko naliwachukia; kwa sababu ya uovu wa matendo yao nitawafukuza watoke katika nyumba yangu; sitawapenda tena; wakuu wao wote ni waasi.

Hos. 9

Hos. 9:14-16