Hos. 8:6 Swahili Union Version (SUV)

Maana katika Israeli kimetokea hata na kitu hiki; fundi ndiye aliyekifanya, nacho si mungu kamwe; naam, ndama ya Samaria itavunjika vipande vipande.

Hos. 8

Hos. 8:1-14