Hos. 8:14 Swahili Union Version (SUV)

Maana Israeli amemsahau Muumba wake, naye amejenga nyumba za enzi; na Yuda ameongeza miji yenye maboma; lakini nitapeleka moto juu ya miji yake, nao utaziteketeza ngome zake.

Hos. 8

Hos. 8:5-14