Hos. 8:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Tia baragumu kinywani mwako. Kama tai, anakuja juu ya nyumba ya BWANA; kwa sababu wamelihalifu agano langu, wameiasi sheria yangu.

2. Watanililia, Mungu wangu, sisi Israeli tunakujua.

3. Israeli ameyatupa yaliyo mema; adui watamfuatia.

Hos. 8