Hos. 7:2 Swahili Union Version (SUV)

Wala hawafikiri mioyoni mwao ya kwamba naukumbuka uovu wao wote; sasa matendo yao wenyewe yamewazunguka pande zote; yako mbele za uso wangu.

Hos. 7

Hos. 7:1-11